Nilikuwa natafuta hii point ya msingi kwenye huu uzi
Uko sawa kabisa kuwa ulivyo
Habari za hali ya chini ndio zikoje? 😂Ukiwa na habari za hali ya chini hata kama mwanangu nafuta no hapohapo,
Ukinitafuta zaidi ya mara2 nikajua ww ni yule nakulima block
Sweetheart nimekumiss...!
[emoji38][emoji38][emoji38] ukuda mwingi, kufatiliana, unamaneno maneno ya ajabu, kusema watu, kuniongelea shombo [emoji38] na mengineyo mengiHabari za hali ya chini ndio zikoje? [emoji23]
Missing you more baby
Namba yako kila nikipiga naambiwa inatumika....umeniblock e?
Nilisanitaizi simu kwa maji na sabuni, sasa inasumbua kwenye kupiga na kupokea.