Chukua vitabu vya mungu soma kwa yakini, kama we ni muislam unaweza kufunga pia, kama kweli unania ya kutotenda dhambi hyo..
Kama unania ya dhat kutenda we mgegede tu maana hapo hamna namna hata ashuke issa bin maryam hutoacha ng'do...
Ila mie enzi zangu home aje beki 3 au sijui mtoto wa mama mdogo sijui mamkubwa sijui mjomba au ndugu ndugu tuu, huyo lazima azijue kona zote bafu, jiko, na sehem tofaut za home zina siri nzito sana, sasa nimeacha huo ujinga kila nikikumbuk najisikitikia sana baada ya kutabasam. Ukiona sijampitia ujue mbovu... Yaan mtu aje kufanya kazi maskan, ale home, mshahara alipwe halafu waanze kuruka washkaji wa mtaani, ilikuwa ngumu mnooo, lazima nipite..