Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Wivi si upendo mara zote kuna muda ni ujingaKwenye miti hakuna wajenzi, yaani sisi tunazitafuta hizo bahati za kupendwa ww unalalamika mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivi si upendo mara zote kuna muda ni ujinga
Ww ni 18 au ni late bloomerInawezekana coz mm ni mgeni wa mapenzi sjawahi kupendwa kiasi cha kuonelewa wivu, siwezi kukataa wazo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ni 18 au ni late bloomer
Pole angalia usije ukabaka[emoji38]Sio 18 wala sio late, niko byzy sana na hayo mambo, sehemu nilioko kwa mda mrefu sasa inaninyima kupata hayo mambo ya mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Well saidWivi si upendo mara zote kuna muda ni ujinga
Hakuna kuachana Mungu hapendi.Si unaachana nae tu kama ashakua kero
Na kuhusu simu simple mwambie akununulie yake ili awe anaigusa kila atapojiskia ila yako aache
sio kila mwanamke mwenye mbunye anafaa kuwa mke na mama watoto angalia sana kijanaKwenye hii Dunia kuna wanawake wana wivu ule wa kupindukia!,wivu ni mapenzi lakini ukipita kiasi inakuwa ni kero kubwa sana!
Unakuta ukiweka profile picha yake siku unaitoa ni ugomvi,Mara kila time anataka kukagua Simu yako,Yaani dakika kumi ana furaha dakika 20 kanuna dakika 30 umbembeleze yaani mapenzi ya namna hii yanaboa sana kukutana na mwanamke mwenye wivu wa kijinga
Sent by Diaspora