Unaweza kuta jamaa wa kataa ndoa akiwa anaadika nyuzi zake yupo sebuleni anakula chakula alichopikia na mkewe!

Watu wanamix kuoa na kuishi na mwanamke.

Kinachokataliwa ni ule mkataba nyonyaji.
Ukiwa unaishi na mwanamke na amezaa watoto hiwezi kuwahudumia hao watoto? Yeye mwanamke mwenyewe humuhudumii?

Yaani kataa ndoa huku unaishi na mwanamke na watoto juu na unahudumia. Sasa tofauti iko wapi kati ya aliyeoa na wewe unayehudumia kila kitu?
 
Wanawake wa miaka hii malaya sana wameshatombwa sana na bado atagawa hata ukimuoa

Ya nini ulipie mahari na kuandaa harusi kwa mamilioni ili kumweka ndani malaya kama mke

Na bado mkitalikiana sheria ya ndoa itampa malaya sehemu ya mali zako

Na bado huyo malaya ulikuwa unamtunza kama mke pesa yake ni yake. Pesa yako na mali zako vya wote

Kataa ndoa
Ndoa ni utapeli

Kataa ndoa
Tunza kibunda chako
Kwanini uoe malaya wakati wanawake wanaojiheshimu wapo wengi sana?

Shida ipo kwa muowaji kumbe na sio kwa anayeolewa.
 
Wanawake wa miaka hii malaya sana wameshatombwa sana na bado atagawa hata ukimuoa

Ya nini ulipie mahari na kuandaa harusi kwa mamilioni ili kumweka ndani malaya kama mke

Na bado mkitalikiana sheria ya ndoa itampa malaya sehemu ya mali zako

Na bado huyo malaya ulikuwa unamtunza kama mke pesa yake ni yake. Pesa yako na mali zako vya wote

Kataa ndoa
Ndoa ni utapeli

Kataa ndoa
Tunza kibunda chako
Umeandika kwa uchungu sana japo NAKAZIA
 
Sikulazimishi kuoa, ila sio kuwa easily taken na maneno ya kiufundi ya mtandaoni bila ya kujua asili ya kweli ya huyo anaepost.

Hata hawa jamaa wa "Tafuta hela wewe" wengi unakuta wapo vijiweni wanasubiria kahawa na visheti vya 200 amalizie siku huku akijipiga tafu na bando la Vodacom.

Acha kuoa kwa misingi muhimu na imani iliojitoshereza huku ukiwa na back up plan jinsi gani ya kuishi katika dunia hii inayo amini katika misingi ya ndoa.

Sio tu kukupuruka kufanya uamuzi kutokana na vimaneno vya JF. Maana huyo anaeandika kataa ndoa unaweza kuta mke wake anamfulia boxers zake kila siku.

Kama hauwezi tafuna, mumunya, ukweli ndio huo.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Watu tunawaza u billionaire, huo muda wa kuja kusumbuana na mwanamke hatunaa, muhimu watoto tu huku ukiendelea ku make money, DANGOTE is my role.
 
Sikulazimishi kuoa, ila sio kuwa easily taken na maneno ya kiufundi ya mtandaoni bila ya kujua asili ya kweli ya huyo anaepost.

Hata hawa jamaa wa "Tafuta hela wewe" wengi unakuta wapo vijiweni wanasubiria kahawa na visheti vya 200 amalizie siku huku akijipiga tafu na bando la Vodacom.

Acha kuoa kwa misingi muhimu na imani iliojitoshereza huku ukiwa na back up plan jinsi gani ya kuishi katika dunia hii inayo amini katika misingi ya ndoa.

Sio tu kukupuruka kufanya uamuzi kutokana na vimaneno vya JF. Maana huyo anaeandika kataa ndoa unaweza kuta mke wake anamfulia boxers zake kila siku.

Kama hauwezi tafuna, mumunya, ukweli ndio huo.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Ila mnajua nini aisee tafuteni wanawake wakishua, au wale wanatokea familia za hela hela, sio washamba wa pesa, hawa kidogo wanajielewa , akikwambia I love you , inatoka moyoni, achana na hawa wanaotokea familia duni ( sijawa critisize viby) hawa neno i love you inatoka kwenye njaa.
 
Back
Top Bottom