Unaweza kukishitaki chuo?


Chuo gan?

Kila chuo kina utaratibu wa kutoa malalamiko,

1. Kuna uongozi wa wanafunzi wa Chuo. Wafuate wakupe utaratibu

2.Andika barua kwa mkuu wa chuo au kaimu mkuu wa chuo, ili wakupe muda wa kukusikiliza hoja zako na wap waseme yao.
 
Mvactican unakumbuka hii
 
We matako nini
 
Du
Duuuh mkuu umemuweza
Kumbe huyu jamaa ni kiaz kikuu hivi
Mavi yake laiyon mkubwa yeye
Anatona sisi watoto
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…