Unaweza kuhisia hapa ni wapi?

Hii njia inaniweka roho juu kila nikisafiri na mabasi
 
Zote zipo chini ya kiwango sijaona barabara Tanzania
 
Wanamwita Tingatinga..... ile barabara ya kilwa si ilirudiwa kujengwa baada ya kuwa na mapungufu hata kabla ya kukabidhiwa?
 
Hatua chache kuingia mikumi ukitokea iringa
 
barabara ya lami inayotitia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…