Unawafahamu hawa?!!!!!!!!!!!!!!!!

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
157
Naomba msaada wenu.
Nahitaji jina na contacts za hawa wanaotoa huduma za kutumia tarakimu zofuatazo 15xxx kwa kutumia simu za mkononi, mfano, unaambiwa tuma neno MOYO kwenda 15559 n.k
Nawatafuta hawa wanaotoa huduma katika namba hizo.

Kuna mtu aliniambia kuwa wanaotoa huduma hiyo siyo mitandao ya simu kama vile Vodacom, Airtel, tiGO, Zantel, TTCL n.k isipokuwa ni service providers wengine ambao wanaingia makubaliano na kampuni za simu.

Asanteni kwa msaada wenu.
 
Nenda pushmobile mitaa ya leaders club mbele ya THT wanatoa hyo huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…