Unavaa upendeze Unavaa usikae uchi,

Muhimu mno kupendeza watu wanakutreat tofauti unapata favour everywhere hii nimechelewa kuijua mi nilikua navaa tu ilimradi nisikae uchi ila nimeona tofauti kubwa baada ya kuanza kupendeza nitamfundisha binti yangu mapema awe serious na muonekano very important
 
Habari wakuu
Moja kwa moja
kwenye mada

Watu tunataka kuvaa tupendeze Au unavaa
usikae uchi

Au unavaa nguo nzuri
na
Safi ili uonekane Kwa watu,
Binafsi najipenda na napenda
Kuvaa
nguo nzuri

Vipi wewe una mtazamo
upi



Cc:wote
Wengine wanavaa ili wakae uchi mkuu, usiwasahau nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…