Anataka nyingi tu Mkuu, zaidi ya Tani moja.Poa nipo nakwenda mjini Asali ipo nyumbani nikirudi nakutumia picha na anataka kiasi gani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ya jumla ndio ipi?Mkuu Nina asali Mbichi nauza kwa bei ya Jumla, Napatikana Riverside ubungo, tuwasiliane tafadhali,
No.0715631811
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu hata mm nimewashangaa wanavyo haha kukomentKwenu Seller wa Asali, kwa Dunia ya Leo ilivyobadirika kama hamtabadirika mtaachwa nyuma, siwasemi kwa ubaya ila nimekutana na wafanyabiashara wanaoishi Dunia ya zamani sana.
Au mmesharidhika kuuza Asali zenu kwa Lita moja mtaani!? Niliweka Tangazo hapa na nikatoa maelekezo mazuri kabisa ya nini ufanye sawa na matakwa ya Buyer, Buyer yupo nje, anatumia fulsa ya Technology, anasema anataka kuona picha kwanza, anataka kuona rangi ya Asali (Gold) anataka kuona uzito wa Kimiminika, nikaelekeza namna ya kupiga Picha, Anatokea mtu inbox anasema namba zangu hizo, asali ipo Katavi njoo uione!! .......Seriously!!?
Sasa Mimi niache mishe zangu za kila siku nije tu kuona Asali Katavi, kuna faida gani ya Technology!?? Unashindwa kupiga picha Asali yako na kunitumia inbox, bei, quantity na namba zako za simu!?
Watu Leo wanafanya biashara online kwa picha tu na Buyer anamwaga Mpunga na Biashara inafanyika.
Wakati Seller wengine wakihangaika Ku comment hapa kuwa "Asali ipo nipigie nipo TABORA" kuna wachache walikuja fasta inbox na picha za kutosha na all information, so badilikeni....
All in all nimeshapata Asali coz buyer alitaka tuanze na Tani 1....then next atahitaji zaidi kuanzia Tani 5....
Sasa Buyer anataka NTA, una NTA? ama Partner wako?? Tuma picha inbox ya NTA yako, Quantity you have, iko wapi na bei per 1 kg..
Karibu.
Sure, watu inabidi Wabadirike.....
Haaaha, nishawahi ona humu Jf hiyoSure, watu inabidi Wabadirike.....
Unaweza kukuta mtu kaweka Tangazo la kazi kwa fani flani, akaweka sifa za mtu wanayemtaka na kiwango cha elimu yake, Tangazo likaelekeza waombaji wote watume maombi kwa njia ya email, na email address ikawekwa pale...
Utashangaa mtu ana comment akisema yeye anazo sifa hizo na hiyo ndo namba yake ya Simu, means anataka apigiwe!
Na kumbuka Tangazo ni la Kiswahili.
Hahahaaa...Wapo wa Tanzania wachache wenye hasira na maisha haya wanapeleka Kenya, Asali nyingi ya Kenya imetoka Tanzania..[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] usije ukawa umepata ya kenya,maana tz sijaelewa wauzaji wanataka uwapigie simu.
Mimi ninayo asali nzuri kabisa ya nyuki wakubwa asali isiyo ganda hata kipindi Cha baridi. Tafadhali ndugu yangu nitafutie +255763469684Mimi sina nnachojua kuhusu hii Biashara, kuna jamaa yangu anataka kununua Asali ya kutosha kwa ajiri ya biashara...
Anataka Picha ya Asali yako ili aone rangi yake na uzito au wepesi wake, nitumie picha inbox, tafadhari usipige picha ya madumu yako au Chupa, piga picha kwa mfano wa picha hapo chini, yule atayekua fasta uwenda ikawa zari lake, akisharidhika na mwonekano wa asali yako ndo mtazungumza Bei.
Picha iwe kama hivi.
View attachment 555293
Mkuu nikipewa deal namuunganisha Buyer na Seller then mm naendelea na mambo yangu.... Na wao wanaendelea na Biashara....Mimi ninayo asali nzuri kabisa ya nyuki wakubwa asali isiyo ganda hata kipindi Cha baridi. Tafadhali ndugu yangu nitafutie +255763469684
Oky thank you so much.May God bless you.Mkuu nikipewa deal namuunganisha Buyer na Seller then mm naendelea na mambo yangu.... Na wao wanaendelea na Biashara....
Ikitokea nimepewa kazi ya asali I will let you know.. Let's keep in touch.
Asali pure kabisa.Mkuu nikipewa deal namuunganisha Buyer na Seller then mm naendelea na mambo yangu.... Na wao wanaendelea na Biashara....
Ikitokea nimepewa kazi ya asali I will let you know.. Let's keep in touch.