Unautumiaje muda wako baada ya kazi ili kutimiza malengo yako?

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
WATU wengi hutumia muda wao baada ya kazi kukaa na marafiki, makundi rika na wengine hufanya mambo ambayo huwazuia kuzifikia ndoto zao.

Wengine hutumia muda wao baada ya kazi kuongeza vipato vyao kwa kufanya miradi binafsi, kuongeza maarifa kwa kujisomea vitabu na majarida mbalimbali, kuhudhuria semina, mafunzo na makongamano.

Muda unaoutumia baada ya kazi unaweza kukuongezea mafanikio au kukupunguzia mafanikio yako katika maisha. ...INGIA
 
Mi natumiaga muda baada ya kazi kujipongeza kwa kazi.... haya mambo bhana...
 
Ukiwa serious sana na maisha unafupisha maisha yako, jioni mimi huwa napata kinywaji
 
Back
Top Bottom