Unauonaje uvaaji huu wa nguo?

wepson

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
831
Reaction score
219
A:Ujanja
B:Ushamba
C:Ujinga
D:Kutojielewa
E________________


 
Viol ,hahahaaa da jamaa katupa kabisa suluari, Hawa jamaa inabidi tuanzishe kampeni ya kuchapa viboko tu watanyoka , hawa sijui wanatumia unga au bangi:llama:
 
A:Ujanja
B:Ushamba
C:Ujinga
D:Kutojielewa
E________________



Mkuu Unauliza UKURUTU KWENYE NGOZI? Mbona Kipo Wazi Tu Kuwa Uvaaji Huu UNAMAANISHA KUWA VIJANA HAWA WANATUTAFUTA UBAYA TUWATAGISHE MAYAI YA MAKAO MAKUU MAPYA MAKUMBUSHO KUTOKEA GEREZANI LUGODA!!!!!
 
Viol hahahahaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hii ni advert ...kwamba hapo nyuma panatumika.
 
Za akina adam mchovu na nay wa mitego hizo.

Kwao ndo ujanja.
 
Ushoga ktk magereza wao wameshindwa kujitambua tu
 
KUtokujitambua yeye ni bani yupo wapi anaelekea wapi ba hatma yake ni nini yote mapito so si kila kitu kiingiacho mjini na ww unataka uwe hivyo be open minded
 
I hate it uvaaji wa namna hii ni kinyaaa.. Hatutaki kuona hayo machupi yenu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…