Miswaki ni mingi, mimi ninatumia colget na mingine haina jina ya kichinachina.Inauzwa kwenye maduka yanaitwa Litle more.
Kuwa makini: Nimeona unasema unataka ukipiga mswaki meno na fizi viitikie. Japo sijajua unamaanisha nini hasa,lakini, nakutahadharisha kuepuka miswaki yenye brashi ngumu kupitiliza. Hakikisha brashi zinaweza kulala unapotumia. Kuna miswaki hata ile ya gharama,migumuu utasema ya kusugulia sakafu. Hiyo haifai. Shida kubwa ya brashi ngumu na kutumia nguvu ni kwisha kwa tabaka la juu la meno(enamel, sijui kama nimepatia).
Enamel ikiisha, utaanza kupata tatizo la sensitivity. Hapo utasahau ukoko wa ubwabwa, kitumbua kilichokauka, nyama iliyokauka na usilogwe utafune kamfupa ama jiwe.Hata mtu akikikwangua ama kukereza kitu ,mfano, msumari juu ya sakafu ,kraaaaaaaaaah! utakoma. Mimi ni victim wa tatizo hili,hivyo, sasa nimekuwa mpole,ninatafuta miswaki bora na laini.
hazina ubora
Kuna miswaki ya Colgate mizuri ORG na Kuna mamiswaki laini Sana yameandikwa Colgate lakini SI ya Colgate hayana ubora. Yakupasa kuwa making katika kuchaguahazina ubora
mh
Wapi inapatikana zaidi?Dabur iko poa
Haiuzwi popote bali inaambatanishwa na dawa yake ya meno inayotoka Uarabuni ambayo inauzwa elfu nne mpk tano inapatikana kwenye maduka machache mimi baada kusoma ,kuona na kutest qualify ya dawa niliisaka sana mpk nikaipataWapi inapatikana zaidi?
Mkuu hii dawa org yake imeandikwa inatoka nchi gani kesho niisakeIyo apo ni dawa bora snaView attachment 1939616
Nano suree mswaki wangu pendwaView attachment 2041377
Ni 4000, the best quality kwa kweli
Miswaki ni mingi, mimi ninatumia colget na mingine haina jina ya kichinachina.Inauzwa kwenye maduka yanaitwa Litle more.
Kuwa makini: Nimeona unasema unataka ukipiga mswaki meno na fizi viitikie. Japo sijajua unamaanisha nini hasa,lakini, nakutahadharisha kuepuka miswaki yenye brashi ngumu kupitiliza. Hakikisha brashi zinaweza kulala unapotumia. Kuna miswaki hata ile ya gharama,migumuu utasema ya kusugulia sakafu. Hiyo haifai. Shida kubwa ya brashi ngumu na kutumia nguvu ni kwisha kwa tabaka la juu la meno(enamel, sijui kama nimepatia).
Enamel ikiisha, utaanza kupata tatizo la sensitivity. Hapo utasahau ukoko wa ubwabwa, kitumbua kilichokauka, nyama iliyokauka na usilogwe utafune kamfupa ama jiwe.Hata mtu akikikwangua ama kukereza kitu ,mfano, msumari juu ya sakafu ,kraaaaaaaaaah! utakoma. Mimi ni victim wa tatizo hili,hivyo, sasa nimekuwa mpole,ninatafuta miswaki bora na laini.
Nami pia pamoja na familia tunatumia hii naiita 'SUREE' kiukweli ni mizuri sana ni soft pia yaani ina raha yake sitegemei kubadilisha maybe kama kuna ambayo ni zaidi ya hiyo naomba kujua maybe nikajaribuView attachment 2041377
Ni 4000, the best quality kwa kweli
Nami pia pamoja na familia tunatumia hii naiita 'SUREE' kiukweli ni mizuri sana ni soft pia yaani ina raha yake sitegemei kubadilisha maybe kama kuna ambayo ni zaidi ya hiyo naomba kujua maybe nikajaribu