Unatumia mswaki gani?

Twinawe

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
2,364
5,113
Miswaki ya siku hizi haina ubora kiukweli.

Mi ni mtu nazingatia sana usafi wa kinywa ila naangushwa na miswaki ya siku hizi, Whitedent ndo ilikuaga miswaki yangu bora ila naona nao wameanza kuregeza.

Nataka mswaki ukipita kinywani jino na fizi viitikie.

Nyie mnatumia miswaki gani uko?
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ hapo kuitikia unamaanisha nini? Usisugue meno kwa nguvu mzee unayaua. Mimi kuna vimswaki vya kichinavinauzwa maduka ya "little more" vinanibariki sana. Vina brashi zenye ulaini wa kawaida. Safi sana
 
Mswaki ni colgate๐Ÿ˜… ukipata wisdom pia ni wa uhakika!
Accessible ni ile ya whitedent
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ