Unatongozwa taratibu unatakaa kwa nguvu, kwanini..?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
35,744
Reaction score
86,370
Midada myengine inamambo ya ajabu lijitu unalitongoza kwa staha na ukimya ila lenyewe likiwa limekoswa ustahimilivu linakujibu kwa kubwatuka kwanguvu!, ni kama vile limepewa kipaza sauti ama tupo kwenye mkutano wa hadhara kila mtu anahitaji kusikia!!.

Sio tu habari kusambazwa mtaani mpaka mitandaoni!, huu sio ustaarabu kama mmeamua kuwa vyombo vya habari mseme ili nasisi tuanze kutongoza kwa vipaza sauti!.
Mtasema nang'aka kisa nimekataliwa, hapana na kukataliwa ni sehemu ya maisha lakini ndo mtu ukatae mpaka mishipa yashingo ikukakamae..!!

Hii tabia inachagizwa na nini?, mnashida gani au ndio style mpya ya kujibu watu hivyo..?
 
Wasamehe tu! Wenzenu tushazoea kuchakazwa ila ndiyo uanaume CC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…