Hii Kweli Ndio Chit-Chat kwa msingi huu
Hii Kweli Ndio Chit-Chat kwa msingi huu
sifa zangu
ni mpole, mzuri, napenda pombe kali, chakula kizuri, mtoko wa maana, cost tunashea, ikitokea tukataka ku sex lazma condom sijapima bado, ni mrefu mweupe asili ya shombe kwa mbali, niko kula maisha, kama uko tayari toa sifa zako nitaku pm mwenyewe nitakae kuchagua. naoma sifa zako utaevutiwa na mm
hii kwa ajil ya wkend ijayo.
Huo uharo ndio unasema sifauko na wivu na sifa zangu?
ukzungsha tape ukubwa ukoje?
nimekosea?
nafikiri mnahitaji kumuelimisha mpolee maisha ya jf jinsi yalivyo.
miaka kadhaa ijayo chit chat itakuwa popular kuliko MMU labda na jukwaa la siasa..