Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
hawa wazungu hawahurumii masaburi ya waafrika? dah!!misaada hadi wazalilishe masaburi ya waafrica?
hapa logic ni kuwa kwa vile hamuwezi kutumia rasilimali zenu wenyewe basi inabid muuze masaburi yenu yatumike ili mpate misaadahahahaaa! Bora kufa masikini kuliko masaburi yangu yatumike.
hawa wazungu hawahurumii masaburi ya waafrika? dah!!misaada hadi wazalilishe masaburi ya waafrica?
wameshachoka kuombwa ombwa tu ..wanataka kama mnataka misaada basi wajue moja ..wote muwe mapunga mkae vibalazani mpake wanja na kujipodoa ..hiyo ndio maana yake ..kama hamtaki kuwa mapunga basi kaeni chini sugueni vichwa kama wanaume mgangamale na muwe na bajeti inayojitosheleza sio kuomba omba hadi neti za mbu ...Hivi connection ya ushoga na misaada inatoka wapi? au huko kwao kodi zao ndo inakopatikana hiyo misaada mnayopewa hivyo lazima muukubali ushoga?
madini mnayo na mashamba ...kwa nn msiyatumie? baci si akili zenu hazifanyi kazi ..toeni masaburi sasa
akufukuzaye hakuambii toka,wazungu washatuchoka kwa upumbavu wetu. Nalog off
ahhaaaaaaaaaaaaaa u made ma day meeeeeeeeeeeenhahahaaa! Bora kufa masikini kuliko masaburi yangu yatumike.
wameshachoka kuombwa ombwa tu ..wanataka kama mnataka misaada basi wajue moja ..wote muwe mapunga mkae vibalazani mpake wanja na kujipodoa ..hiyo ndio maana yake ..kama hamtaki kuwa mapunga basi kaeni chini sugueni vichwa kama wanaume mgangamale na muwe na bajeti inayojitosheleza sio kuomba omba hadi neti za mbu ...
hawa wazungu hawahurumii masaburi ya waafrika? dah!!misaada hadi wazalilishe masaburi ya waafrica?
wameshachoka kuombwa ombwa tu ..wanataka kama mnataka misaada basi wajue moja ..wote muwe mapunga mkae vibalazani mpake wanja na kujipodoa ..hiyo ndio maana yake ..kama hamtaki kuwa mapunga basi kaeni chini sugueni vichwa kama wanaume mgangamale na muwe na bajeti inayojitosheleza sio kuomba omba hadi neti za mbu ...
Viongozi wa afrika wavivu kutumia rasimali zilizopo ngoja washikwe masabuli sasa ndo watie akili