Unataka kutongoza bila kukataliwa?

Nasemaje jamani wanaume tutafute hera ukiwa na hera hakuna mwanamke utamtaka akisumbue achilia mbali kukunyima.
 
Africa ndio sehemu vijana wenye majina ya manabii na mitume wanafundisha ushetani.
 
Sjasoma uzi ila kma haujaongelea swala la pesa uzi huu ni batili.
 
Nzuri.
 
Hatutongozi.

Tunaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…