Baba lake
Senior Member
- Aug 11, 2018
- 170
- 215
Kama unaroho nyepesi huwezi thubutu kutafuta mchumba/ mpenzi/ rafiki mtandaoni hasa humu JF, kila nikisoma comments za wapambe ambao majority wanakuwa hawapo interested na ujumbe wako lengo lao kuu linakuwa ni kutaka kukutoa jasho ama wengine wanataka wakutoe nishai tu.
Mkisikia watu wamejinyonga ama kunywa sumu kisa malavidavi mjue kwa namna fulani mnaweza kuwa mmechangia, mtu unakuta ameshindwa kuwaface warembo wa mtaa akaona kaupenyo huku akatangaza nia, woh woh woh! Badala ya kupokea PM shazi anajikuta yupo na comments shazi ambazo mala nyingi huwa ni disappointments.
So naconclude kwamba mpaka umejitosa kusaka piece au msela lazima uwe umejifunga kibwebwe cha lawama, ya Mungu mengi unaweza jikuta umeopoa goma lako kiutani utani tu.
It's now or never. ..