Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
ipo waziNeno lililozoeleka mpaka sasa "kila mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke"
Ni neno fikirishi sana na hasa limetokea kuaminiwa sana baada ya anayelitoa yupo katika kundi la waliofanikiwa.
Mwanamke anaongozwa na hisia sana tofauti na mwanaume,
Ipo hivi mwanaume ili kuzuia tamaa zako uwe Huna pesa
Hapa ndio maana sehemu za starehe zinajaa sana tarehe za mishahara
WANAUME TUNAJUA SANA KUZITUMIA
NA LILE NENO LETU MIMI NDIE NAZITAFUTA HAKUNA WA KUNIPANGIA!!!
Mwanamke akiwa na pesa hutambabaisha kwa lolote wale wazee wa kumchomolea elfu kumi ya vocha kwa mwanamke huyu hawana chao》》
Pia mwanamke ana sifa kubwa kwenye kupanga mipango mikakati( family strategic)
Na mkibahatika kuwa na watoto hawa viumbe huwa na mipango endelevu sana ya kimaendeleo maana hapa anaangalia sana
Family security,
Mtaishije na watoto kesho Huna kazi
Au biashara imekufa?
Mwanamke huifikiria sana kesho ya familia
UKITAKA KUFIKA MBALI KIMAFANIKIO MSHIRIKISHE KILA KITU MKE WAKO NA PESA
ZIWE ZA FAMILIA.
Hutaki mafanikio mkuuMmmmh!naisi ukakasi tuh!ngumu kumeza.bado haujanishawishi.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Fuata ushauri kwa waliofanikiwalabda Mungu aumbe wengine lakini kama ni hawa viumbe bado hujanishawishi
Hilo napita tu mkuuSi unaona sasa tumemshikisha familia yenye mapesa na watu zaidi ya milioni 60, ila kutwa kuwasimanga wajomba na baba wadogo.
Kizazi kilichopotea gizani kurudi kwenye nuru kazi sanaTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Mtupege pesa jaman[emoji23]Neno lililozoeleka mpaka sasa "kila mwanaume aliyefanikiwa nyuma yake kuna mwanamke"
Ni neno fikirishi sana na hasa limetokea kuaminiwa sana baada ya anayelitoa yupo katika kundi la waliofanikiwa.
Mwanamke anaongozwa na hisia sana tofauti na mwanaume,
Ipo hivi mwanaume ili kuzuia tamaa zako uwe Huna pesa
Hapa ndio maana sehemu za starehe zinajaa sana tarehe za mishahara
WANAUME TUNAJUA SANA KUZITUMIA
NA LILE NENO LETU MIMI NDIE NAZITAFUTA HAKUNA WA KUNIPANGIA!!!
Mwanamke akiwa na pesa hutambabaisha kwa lolote wale wazee wa kumchomolea elfu kumi ya vocha kwa mwanamke huyu hawana chao》》
Pia mwanamke ana sifa kubwa kwenye kupanga mipango mikakati( family strategic)
Na mkibahatika kuwa na watoto hawa viumbe huwa na mipango endelevu sana ya kimaendeleo maana hapa anaangalia sana
Family security,
Mtaishije na watoto kesho Huna kazi
Au biashara imekufa?
Mwanamke huifikiria sana kesho ya familia
UKITAKA KUFIKA MBALI KIMAFANIKIO MSHIRIKISHE KILA KITU MKE WAKO NA PESA
ZIWE ZA FAMILIA.
Huwa mnapeleka kwenye vikobaMtupege pesa jaman[emoji23]