Unataka chumba cha bei rahisi ubungo kibangu

Unataka chumba cha bei rahisi ubungo kibangu

Mkuu...tupia picha nikione..tufanye biashara..
Mkuu nilienda mala 1 tuu.. Sikua na akili ya kupiga picha...Ila chumba kiko poa .. .kama una muda unaweza kukiona
 
3ea8bed3be57ff2c810041942105d3ab.jpg
nilikilipia 25/01/2018 nilikua na mihadi ya watu kutoka mkoani kuja dar kufanya kazi na Mimi..nikalazimika kuwatafutia chumba cha kuishi kwa gharama ya 30000 kwa mwezi na nikalipia miez 6 tsh 180000 na gharama ya Dalali 30000 jumla 210000...

Leo nimepewa taarifa kwamba wamehairisha kuja dar, na chumba nilisha kilipia,,,
kwa anae itaj chumba maeneo ya ubungo,,,sio mbali na stend ya rivaside dk 13 kwa mguu.

Chumba ni cha kawaida , kina Umeme,maji yapo karibu, ukubwa wake kitanda cha 5*6 kinakaa na nafasi kidogo inabaki,, chumba ni cha ndani...

Kwa anae kiitaji nitamfanyia 150000tu miez 6..
0658264444 mawasiliano

NB Ikiisha miez sita ya mwanzo utaendelea kulipa 180000....nimefanya 150000 ili kuokoa pesa niliyo lipia ANGALAU.

Hiyo doti kubwa kwenye ramani ndio mahala chumba kilipo
Laisi = rahisi. Ningekuwa mimi kichwa changu cha habari ningekiandika hivi. 'JE UNAHITAJI CHUMBA CHA BEI NAFUU UBUNGO KIBANGU?' Biashara inahitaji lugha ya ushawishi na kubembeleza kidogo. Neno 'unataka' limekaa 'kiamri amri' zaidi. Na kwenye bei, neno sahihi na linalopendeza ni 'nafuu' sio 'rahisi'.
 
Kaka unaishi kibangu/makoka? Ni mbali sana kutoka Mandela road. Nafanya kazi UDSM. Je Niko sahihi kuishi huko?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom