Unatafuta nyumba nzuri

Unatafuta nyumba nzuri

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Ukonga Mombasa kuna nyumba inauzwa, nyumba in vyumba vitatu na master, daining room, sebule na jiko halafu kuna choo cha ndani na choo cha nje na bafu, pia maji yapo mda wote na ina fremu 3 moja inatumika, na kwa ulinzi zaidi nyumba ina fensi. Bei ni shilingi 50,000,000. Kwa mawasiliano wasiliana na namba 0788883962.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom