Unatafuta Fundi wa computer wasiliana nami

Unatafuta Fundi wa computer wasiliana nami

makanji

Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
18
Reaction score
0
kama unahitaj fundi wa computer yako ina tatizo laptop au desktop au unahitaji website,blog na pia computer networking iwe internet cafe au office computer network system pia kwa wale wafanya biashara mini supermarket au maduka ya bidhaa kama dawa za mifugo kuna software nzur unahifadhi kumbukumbu ya bidhaa zako unazouza na kuingiza product mpya inatunza stock yako yote ni nzur sana inaitwa (EASY SALES).tuwasiliane muda wowote kesho nipo Chalinze km wewe mkaz wa Chalinze wakata wako sasa na Dar nipo kila siku napatikana Tabata Segerea au Banana pia na door to door services nakufata ulipo karibun sana, contact wth me +255 713-947298, +255 767947298 email mlugumi@yahoo.com

NB😛IA KAMA UNAHITAJI MSAADA KUULIZA KITU ULIZA TU NAKUSAIDIA KAMA UNA MATATIZO YOYOTE KATIKA COMPUTER YAKO DESKTOP AU LAPTOP mteja kwangu mtu muhimu sana.
 
Mimi laptop yangu haingii chaji kwa mana haiwaki mpaka nichomeke kwenye umeme je betri itakuwa imekufa?
 
Mm laptop yangu aina ya dell toleo la zaman imevunjika kioo nataka unibadilishie inaweza ikanigharimu sh. Ngapi?
 
Nahitaji unitengenezee laptop yangu fan ya processer naona imekufa ukiiwasha inapiga makelele tu...am serious
 
Computer yangu imekufa mother, je naweza kupata mpya na ikafanya kazi fresh?
 
Computer yangu imekufa mother body, je naweza kupata mpya na ikafanya kazi fresh?
 
Back
Top Bottom