Hizo panel za hapo juu moja watts ngapi? Na nikitaka panel mbili ntahitaji battery ngapi na gharama yake pamoja charger controller plus inveter itakuwa kiasi gani?
Hahahaa wafanya biashara wa kibongo kazi kuweka na!ba za simu tu
Hawajui kutangaza biashara anasema anauza hataji bei anataka umpigie aanze ubabaishaji kwa kufanya udalali