unasemaje Munishi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unasemaje Munishi?

Discussion in 'Jamii Photos' started by eRRy, Dec 12, 2011.

 1. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  jeshitz.jpg

  Hawa ndio wanajeshi wa Tanzania. Tumbo kubwa ndio mtindo jeshini. Inasemekana mkuu wa majeshi ana ndege zake binafsi. Katika nchi ambayo wanasiasa hushirikiana na Polisi kuwapora wananchi mali,Mtu anaweza jiuliza kwa nini wanajeshi nao wasipate sehemu yao ya mlo? Tangu Kikwete aingie madarakani inaonekana ameamua kuwapa wanajeshi mlo wa kiaina yake. Amebuni kikosi kinachojumuisha wanajeshi na wanausalama wa Taifa kuwasumbua raia mitaani. Wana amri ya SHOOT AND KILL.

  Kuua kwao siyo jambo kubwa mradi kisingizio kiwe aliyeuawa ni jambazi hatari. Tofauti na polisi wa kawaida, hawa rushwa yao huchukua kwa beseni na siyo sahani. Yaani ukitaka kuwahonga uanzie mamilioni. Wanajiita SUPER SWEEPER. Wanafyagia mali kutoka kwa yeyote anayeonekana mpizani na kuikabithi mali hiyo kwa Kikwete mwenyewe akiimarishe chama.
  Ukitaka kujua kitakachokupata ukiipinga CCM muulize DR. Lamwai. Alisukumwa kushoto kulia na kitambo ajue nini kinaendelea, alijikuta akiwa masikini wa kutupwa. Hadi alipoamua kurudi CCM na kumsifia Kikwete kwa umaarufu wake wa kutembea na wake za watu ndipo angalau aliruhusiwa kufnya kazi nchini Tanzania. Yaani ukiwa mpinzani wa kweli, utabanwa kiasi cha kushindwa kupumua.

  Lamwai alipomwambia Kikwete ni sawa kuvunja ndoa ya waziri wake wa mambo ya nje, Ndipo aliporudishwa zizini.


  Source: https://www.gospelgtv.com/habarinjema.htm

   
 2. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Haya matumbo makubwa nahisi ni ugonjwa au sijui ni kuridhika kweli? ivi sisi tumeridhika na nini kuliko wenzetu wa mataifa mengine ambao matumbo makubwa kwao ni kwa wenye mimba tu?! Heri yangu tumbo kubwa hamna!!!
   
 3. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135

  Mbona slaa anapeta tu?
   
Loading...