Unasemaje kuhusu serikali tatu?

Unasemaje kuhusu serikali tatu?

farryandy

Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
55
Reaction score
28
Nadhani kila mtanzania ana lake la kuchangia... hebuzungumza lililoko moyoni mwako... USIFICHE.

PICHA:mathematically=WRONG.....Politically=RIGHT.........Digital Computing.=RIGHT... Sasa tunasemaje tatu mbili moja?
 

Attachments

  • 1398873403656.jpg
    1398873403656.jpg
    85.5 KB · Views: 254
Kuzuia serikali tatu ni sawa na kubadilisha uelekeo wa maji yaanze kutoka chini kupanda juu kitu ambacho haiwezekani.
 
Mie ningeshauri kama tunahitaji kuimslisha muungano na kupunguza gharama, just one goverment na Raisi anaweza akatokea zanzibar au bara bila kujali. zanziba na watakubali tuitwe Tanzania yani mambo yangenyoka sana.
 
Back
Top Bottom