Unapooa waweza kuingizwa mjini

Unapooa waweza kuingizwa mjini

mchumihuru

Member
Joined
May 3, 2015
Posts
6
Reaction score
3
Elimu na mafanikio ya kimaisha mwanaume akipata vitu hivyo viwili kabla ya kufanya chaguo la kuoa,anaweza kupata wakati mgumu kumtambua mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwake.

Wanawake wengi na wenye elimu na wazur huvutiwa sana na wanaume wenye mafanikio kimaisha elimu,fedha,kazi nzur, mwanaume anaweza kuingizwa mjini akidhani anapendwa yeye but kumbe ni mafanikio yake.

Ni vyema ukamtambua mwanamke wa kumuoa kabla hujapata mafanikio ya maisha epuka mwanamke anaekupenda kutokana na status yako kama elimu, kazi,fedha unaweza ukawa unaingizwa mjini.
 
Nikweli kabisa mkuu ndiyo maana wanandoa ambao hukutana baada ya mafanikio ya kimaisha hawadumu. ndoa inatakiwa iwe na historia.watu wawe wametoka mbali. hapo huheshimiana.
 
Ni ukweli........japo huwa kuna exceptionals.sio wotee
 
Hilo usemalo ni kweli kabisa na vijana wengi ujikuta wanapata shida kuoa kutokana na hilo
 
Wanawake wenyewe wanasema utampendaje mtoto wa mke mwenzio!!
 
mchumihuru

Tatizo wanaume wengine wakipata mafanikio bas wanamuona mwanamke aliyempenda bila kuwa na mafanikio hana hadhi tena ya kuwa nao... ni sheeeeedah
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom