Kuna mpangaji wa kiume mgeni alimtumia mama mwenye nyumba sms 'mama ulisahau kunipa bili ya uume'. akimaanisha umeme.
Tena mama mwenye nyumba alikuwa mlokole,akaja siku ya pili na kumrudishia kijana hela yake ya kodi bila kusema kitu.jamaa alishaipenda nyumba ile ilikuwa tulivu na hamna tatizo la maji.Hapo ni notice
Kuna mpangaji wa kiume mgeni alimtumia mama mwenye nyumba sms 'mama ulisahau kunipa bili ya uume'. akimaanisha umeme.
Ndo maana mie napenda kutwanga kuliko k-sms
Yeah, one spelling mistake can destroy a marriageha hahaha, umenikumbusha kuna ile moja iliwahi kuwa hapa jamaa kasafiri alipofika akamtumia msg mkewe "Honey, the place is so cool here, am having fan, I wish you were HER"
Instead of HERE