Ailars David
Senior Member
- Jul 6, 2017
- 128
- 36
Watu wengi wamekuwa wakiishi maisha ya bora liende yaani siku itakavyo kuwa kwao vyovyote ni sawa ukiishi hivyo basi ni dalili umaskin unakufuata nyuma
Ila ukipenda maendeleo kila utajuwa kuwa namna unavyoianza siku yako asubuhi ni msingi wa siku njema ya kimaendeleo
Uamkapo asubuhi
#1 mshukuru Mungu
#2 tafakari ni yapi unatamani kuyakamilisha ndani ya siku husika
#3 pangilia uanze lipi umalize lipi
#4 pata kitu kitakacho kupa motisha
Waweza fanya zoezi kujiweka fresh au kusoma inspirational quotes
Ila inasikitisha sana kwan watu wengi wanapoamka asubuhi hata Mola hawamkumbuki
#1 hukamata simu nakujipost kwenye social medi
#2 hukurupukia vitu bila mpangilio
USIISHI HIVYO!!!!!