Habari , Habari njema kwa wasanii wa kitanzania na wa kiafrica, kutana na official facebook page ambayo itakuwa ina playlist ya miziki ya kiafrica mipya na ya zamani katika page ya MAMBO MUSIK ambayo inaenda kwa url ya www.facebook.com/officialmambomusik
Page hii itasaidia kuinua mziki wa kiafrica ambapo itampa fursa msanii wa Kitanzania na Africa kuweza kusikika duniani kote Page itahusisha playlist ya music wa kiafrica, biography zao na habari mbali mbali kwa upande wa wasanii ili nyimbo zao ziweze kuwekwa kwenye playlist yetu ni BURE kabisa na anaweza tuma katika email yetu ya isubmission@yahoo.com Shukrani, Mambo Musik Team