Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 913
- 547
Hahaha kwann?Yaani mambo mengine utafikiri unasemwa wewe
Naam Yaani yote umenifanyia wewe Ila poa Malipo ni hapahapa na Mungu anakuona.Yaani mambo mengine utafikiri unasemwa wewe
Msaada watu wasiojulikana wamenireply uwiiiiNaam Yaani yote umenifanyia wewe Ila poa Malipo ni hapahapa na Mungu anakuona.
Wewe si wa kunikana hadharani na kunihusisha na hao maruhani.Msaada watu wasiojulikana wamenireply uwiiii
Hapa nazungumzia kwa wale watu ambao wanafanya kuumiza wengine. So haitaleta maana ya tafsir ya kupenda/kupendwa kwa wakati sawa or mtu si sahihi kwa wakati sawaKuna mambo mengine hayaelezeki wala huwez kuyaelewa, kuna ii kitu inaitwa falling in love with wrong person at right time, na kuna nyingine falling in love with right person at wrong time,... Zote mbaya ila solutions ni kujitazama limits zako usiende overboard zaidi ya kile unachoweza yaani wakati wa kusema "enough is enough " iyo moment will let you be in control, baada ya iyo moment there is nothing you can control and you will always loose
Ni rahisi kusema kwanini uumie kwa mtu uliyekutana nae ukubwani but ni vigumu kukubali ukweli, kuna vitu mtu akivifanya au kuongea moyo wako lazima uumie, na ndio maana vidonda vya tumbo wagonjwa ni wengi, presha na homa ya mifupa etc etc... But yote ni kwaajili tu ya kitu ulichochukulia simple na kusema haina maana.for me in any relation kuna check and balance, it reach a position to let it GO. Kwanini uridhie nafsi yako iumizwe na mtu ambaye mmekutana ukubwani? while we upo in critical condition ya soul pain mwenzio anaendelea na Maisha yake. Remember hapa duniani tunakutana na watu wengi kila mtu anaroles zake Wapo wanaokufundisha na wapo watakaokupa amani na furaha, no need of regretting to promise some one doesn't means ur are confronting to fulfill them, everyone want a piece of mind. na kila mtu Lazima apambane na hali yake
Alafu anakuja kulia lia hapa.Pole sana mkuu naona kimeshanuka huko