Nashauri vyeti vya ndoa viwe na kikomo(expire date)

Yeah,ndoa ni km kuingiza mkono kwenye chombo usichojua kilichomo ndani yake,ukiona mkono unaumia unautoa! Tatizo jamii inalishwa sumu kwa kuaminishwa kuwa kujitoa kwenye ndoa eti ni dhambi! Lkn jamii hiyo haioni mateso anayopata mtu ktk ndoa. Turekebishe hivyo vyeti.
tukikubari hayo unayosema basi duniya itajaa changudoa kwa kuenda mbere
 
Mi nnavyompenda mwandani wangu kwakweli expiry date siitaki..ntajuta sana
 
Mkuu OLESAIDIMU wengi wamefungwa na mambo ya imani na kujikuta wakiishi maisha ya shida sana! Hii ni njia nyingine ya utumwa wa kifikra. Sumu za dini ktk mambo yote,likiwemo hili la ndoa,zimeharibu kabisa uwezo wa waafrika kuamua mambo yao. Mambo mengi wamefungwa na Imani.
kwa iyo unamukosoa bwana mungu weye huna dini
 
Katika ndoa100, labda inaweza kupatikana 1 tena kwa bahat ambayo angalau kidoogo ina challenges ndogondogo.

Yaani sio walioshkilia dini, sio wapagani, sio wazee, sio vijana, sio vijijini wala mjini ndoa zimekuwa mateso hadi wengne kuamua kijiua.

Ukienda kwa wanaume wanasema sikuizi hamna wanawake wa kuoa, wanawake walikuwa wa zamani, wanawake nao wanakwambia wanaume wa skuizi hawawezi kutunza mwanamke, kila kona mambo kibao
Sijui tatizo liko wapi.

Nafkiri kile chet cha ndoa kingewekwa expired date ili hawa wawil wajitafakri den wakikubaliana wakiupdate tena migogoro na vifo vingepungua
 
TUNAPOTAKA KATIBA MPYA, TULILIONA HILI.

NDOA ZIWE ZA KISERIKALI; KIDINI, ZA MKATABA (MKICHOKANA HAKUNA KU-RENEW)
 
Back
Top Bottom