kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,171
- 15,868
Tupeane tu kwani sh ngap? 🤣🤣Jibu lipo hapo kwenye "mtaani pagumu" kama unacho mpe tu au muoe kabisa
Unamaanisha Sheria mkononi ?Simba alikosa nyama anakula nyasi
NaamUnamaanisha Sheria mkononi ?
Kumpa sio hoja,,, tatizo ndo mpo kwenye makubaliano anakuambia utanipa sh ngapi ? Kwani Ni mahindi unaniuzia ? Mm Ni mwanaume, wajibu wa kumpa mwanamke hela najua, hii ya kusema nipe kiasi hiki inakata Sana stimuJibu lipo hapo kwenye "mtaani pagumu" kama unacho mpe tu au muoe kabisa
Ati ?Tupeane tu kwani sh ngap?
Dawa yao waambie mie sijatahiriwa, utawaona wenyewe wakijisogeza kandoAu unanipa zawadi gani? Ndio msemo maarufu wa wadada siku hizi, ukimzoea kidogo tu, ukaonyesha interest ya kutaka utelezi utakumbana na hiyo kauli, plus vibomu visivyoisha. Mtaaani pagumu Sana wanauza indirect.
Binafsi nikikutana na mdada wa hivi hata Kama mzuri Sana huwa nampotezea haraka Sana, labda Nina tatizo sijawahi kwenda kununua wale wanaojipanga.
Mwanaume unaejielewa huwezi kulala na mwanamke usimpe chochote kitu, au ile umezoeana nae huduma anakupa lazima uwe walau unamsapoti sapoti, hii ananiambia kabisa tubagain Kama nanunua nyanya imenishinda!
Kuna huyo mmoja nilipiga chini,,,ukimiahidi kitu, mfano kesho mchana ntakutumia kiasi kadhaa, kesho ikifika hizo simu zitapigwa utafikiri Ni Deni ! Ikotokea upo busy atakusumbua mpaka ukome, nilimtolea uvivu nikapiga chiniTena akipiga kizinga anakua anaulizia kama marejesho ya vikoba na ana kununia usipo mpa alichotaka, hawa mabinti wa sasa ni balaa zito ndio maana ma single mother Wana ongezeka Kila siku
Hao wa ivo Ni wale Malaya wanaojipanga kuuza rasmi, mm namaanisha Hawa wa kawaida tunaishi nao mitaaniSasa kama una mpango wa kumpa, si umtajie tu kile ulichopanga kumpa?
Asiporidhika unaachana nayo. Akikubali, enda naye mkamalizane.
Mtaani kugumuhatari sana
,Dawa yao waambie mie sijatahiriwa, utawaona wenyewe wakijisogeza kando
Hii Kali mkuuUkipewa tu namba ujue week ijayo birthday ndo mana mimi Dp yangu nimeweka my birthday coming soon
Yeye akisema ni tar 25 na wewe unamwqmbia hio hio akisema zawad ndo ameisha unamwita unamkaza unamwambia hakuna zawad yenye thaman kama penzi lake