DeepPond JF-Expert Member Nov 18, 2017 40,495 99,292 Jun 6, 2021 Thread starter #61 kikiboxer said: Jamaa namkubali sana Mejja ngoma zake zinafurahisha sana. Bongo kwenye kutunga tumerudi nyuma sikuhizi. Click to expand... Utunzi wa hovyo kabisa, eti mtu anaimbaa "mwagia ndani"
kikiboxer said: Jamaa namkubali sana Mejja ngoma zake zinafurahisha sana. Bongo kwenye kutunga tumerudi nyuma sikuhizi. Click to expand... Utunzi wa hovyo kabisa, eti mtu anaimbaa "mwagia ndani"
Leonard Robert JF-Expert Member Apr 22, 2011 11,064 7,196 Jun 6, 2021 #63 Napenda land lord na Niko poa..jamaa namkubali Sana.. Lakini Kenya wanaujua mziki wa vichekesho..Kuna wimbo wa "sitoi kitu kidogo" unachekesha lakini Kuna ujumbe
Napenda land lord na Niko poa..jamaa namkubali Sana.. Lakini Kenya wanaujua mziki wa vichekesho..Kuna wimbo wa "sitoi kitu kidogo" unachekesha lakini Kuna ujumbe
Leonard Robert JF-Expert Member Apr 22, 2011 11,064 7,196 Jun 6, 2021 #64 Lizzy said: Mbona sijaona "Jana Kuliendaje?" kwa list??? Click to expand... Umetisha Sana..wimbo mzuri sana
Lizzy said: Mbona sijaona "Jana Kuliendaje?" kwa list??? Click to expand... Umetisha Sana..wimbo mzuri sana