Upo sahihi mkuu, Ila hoja yako ya kuwa mtu aliyepata ZERO anakuwa mwalimu, sina uhakika nayo, kwani sidhani kwa Tanzania Kama Kuna chuo chochote ninafanya admission kwa wanafunzi wenye ZERO form four. It's absolutely impossible.Elimu ya Tanzania inatia hasira tena inaumiza sana hasa unapoichunguza kwa undani ebu fikiria aliye pata ZERO kidato cha nne anaaminiwa kuwaandaa wanafunzi wa shule ya msingi et! Mwalimu, mwalimu! Yupi aliyepata zero form four?
Ambaye Hana hata taaluma ya ualimu? Serikali inabidi itambue na ifumbue macho kutoa ajila Kwa walimu maana huko vijijini inaleta shaka na hasira namna shule zilivyo, ebu fikiria shule yenye wanafunzi 400+ Ina walimu wa watano? Kweli? Hiki ndicho kinafanya walimu wakuu wawapokee walio shindwa na kuona wanafaa kuandaa taifa la kesho, inachekesha au inaliza?
Hata wale wenye taaluma zao za ualimu wanakimbia huko mashuleni kwa kutaka maslai ridhishi, Fikiria yule mbumbumbu aliyezoea kula maembe nyumbani akiwa mdogo ujinga wake utatolewa na mjinga wa form four?
Hapana tufikiri upya, tuweke tija katika elimu hasa huko vijijini, shule za mijini Sina shaka nazo maana walimu wamejazana hadi ofisi hazitoshi wengine wanaishia kureport asubuhi na kwenda kufanya mishe mishe zao nyingine lakini huku vijijini inasikitisha mara utasikia chaki zimeisha kafuata mkuu mjini vipindi siku mbili hakuna watoto wanacheza madarasani!!
Inakera Miaka iliyopita kulikuwa na motisha na Adhabu wa wakuu wa shule et! Ukifelisha sana wewe huwajibiki ingalia ana walimu watano.. anaefaulisha anaonekana Bora! Walidondokea pia kwa kuishia kutengeneza matokeo kwa wanafunzi, ukiangalia matokeo hadi unajiuliza hadi Fulani nae kafaulu? Inasikitisha sana Tutazame kwa jicho la ziada elimu yetu hasa vijijini
Asante.
Imeandikwa na
Denisi G Ngalo
denisingallo8@gmail.com
Mimi ninachojuwa ni kwamba kusoma ualimu ni mwisho division 3 na siyo 4 ama 0, unaposema watoyo wanafundishwa na walimu wa division zero nakuwa kinyume na wewe, wewe unazungumzia zama za walimu wa upe na 4m4 wenye division 4 na hiyo zama iliishia miaka 10 iliyopita kwasasa haiwezekani, kozi zingine wanafunzi wenye division 4 wenye 4Ds wanaruhusiwa kisoma lakini siyo ualimu ndugu.Elimu ya Tanzania inatia hasira tena inaumiza sana hasa unapoichunguza kwa undani ebu fikiria aliye pata ZERO kidato cha nne anaaminiwa kuwaandaa wanafunzi wa shule ya msingi et! Mwalimu, mwalimu! Yupi aliyepata zero form four?
Ambaye Hana hata taaluma ya ualimu? Serikali inabidi itambue na ifumbue macho kutoa ajila Kwa walimu maana huko vijijini inaleta shaka na hasira namna shule zilivyo, ebu fikiria shule yenye wanafunzi 400+ Ina walimu wa watano? Kweli? Hiki ndicho kinafanya walimu wakuu wawapokee walio shindwa na kuona wanafaa kuandaa taifa la kesho, inachekesha au inaliza?
Hata wale wenye taaluma zao za ualimu wanakimbia huko mashuleni kwa kutaka maslai ridhishi, Fikiria yule mbumbumbu aliyezoea kula maembe nyumbani akiwa mdogo ujinga wake utatolewa na mjinga wa form four?
Hapana tufikiri upya, tuweke tija katika elimu hasa huko vijijini, shule za mijini Sina shaka nazo maana walimu wamejazana hadi ofisi hazitoshi wengine wanaishia kureport asubuhi na kwenda kufanya mishe mishe zao nyingine lakini huku vijijini inasikitisha mara utasikia chaki zimeisha kafuata mkuu mjini vipindi siku mbili hakuna watoto wanacheza madarasani!!
Inakera Miaka iliyopita kulikuwa na motisha na Adhabu wa wakuu wa shule et! Ukifelisha sana wewe huwajibiki ingalia ana walimu watano.. anaefaulisha anaonekana Bora! Walidondokea pia kwa kuishia kutengeneza matokeo kwa wanafunzi, ukiangalia matokeo hadi unajiuliza hadi Fulani nae kafaulu? Inasikitisha sana Tutazame kwa jicho la ziada elimu yetu hasa vijijini
Asante.
Imeandikwa na
Denisi G Ngalo
denisingallo8@gmail.com
Kama ata ujui vigezo gani vinatumika ili ukasomee Ualimu, unakuja unakurupuka zero anaenda ualimu.nawasi wasi na wewe either akili huna, mvivu wa kutafuta taarifa, unapenda sifa za kijinga, una chuki na walimu na mwisho kabisa hujitambui ..
wewe mwandishi kweli una akili toka lini uliona mtu kapata zero akaenda chuo cha ualimu? Au hata maendeleo ya jamii umevuta bangi au unatumia nini unajua mafunzo ya ualimu yakoje ww? Elimu ipi inayotia hasira walimu hao wamezalisha na professor kibao phd za kutosha ushafika hata chuo kikuu ww ushawahi fanya masters ww au umeshika ki tecno ba mb za jero unaandika upuuzi tu.
Nawewe mwalimu usikurupuke,anamaanisha kuna baadhi ya shule zina walimu wachache kitendo kinachopelekea kuwatumia madogo walioko kitaa waliomaliza form four ili kuja kupiga temple..Ndo maana kasema hawana taaluma ya ualimu[emoji23]wewe mwandishi kweli una akili toka lini uliona mtu kapata zero akaenda chuo cha ualimu? Au hata maendeleo ya jamii umevuta bangi au unatumia nini unajua mafunzo ya ualimu yakoje ww? Elimu ipi inayotia hasira walimu hao wamezalisha na professor kibao phd za kutosha ushafika hata chuo kikuu ww ushawahi fanya masters ww au umeshika ki tecno ba mb za jero unaandika upuuzi tu.
Hii nchi ina wajinga na ww ni miongoni mwaoNawewe mwalimu usikurupuke,anamaanisha kuna baadhi ya shule zina walimu wachache kitendo kinachopelekea kuwatumia madogo walioko kitaa waliomaliza form four ili kuja kupiga temple..Ndo maana kasema hawana taaluma ya ualimu[emoji23]
Asante wewe mwerevu[emoji119]Hii nchi ina wajinga na ww ni miongoni mwao