Unamuona huyu Mwanamke?

Dahh nkma sana, umenikumbusha mbali sana, umenikumbusha siku tumezinguana na demu niliempiga chini katika kuongea ongea na kumlaumu mambo yake si nikajibiwa "KWANI NILIKUOMBA". Ktk moja ya mambo niliowahi kufanya kwake.
 
Ujaongopa ata,nimelea mtoto ambae nimemkuta nae tokea akiwa darasa la nne ad kamaliza fom4 mwaka wa pili sasa tokea amalize 4 mtu akaja kusema mwane kamlea mwenyewe ad kawa mbaba mzima😅😅😅 apa busara inahitajika unaweza piga ngum moja mkagawana majengo ya serikali wallah akuishia apo ana kwambia apa nilipo sina msaada wwte na mtu,apo kumbuka umeish nae s chin ya miaka 10 anajibu ivyo,ivi viumbe bible kusema tuishi nacho kwa akili ilikua sahihi sana.
 
Dahh nkma sana, umenikumbusha mbali sana, umenikumbusha siku tumezinguana na demu niliempiga chini katika kuongea ongea na kumlaumu mambo yake si nikajibiwa "KWANI NILIKUOMBA". Ktk moja ya mambo niliowahi kufanya kwake.
Wana majibu ya ovyo ukiwa na moyo wa nyama kumbamiza 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…