Unamfahamu kibaka huyu?

A2 P

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
184
Reaction score
43
Kibaka huyu kafika dukani hapa tabata na kuiba simu. Vijana wakamnasa na kumtembezea kichapo pamoja nakumvua nguo. Kwa sasa amepelekwa post
 
Hajapigwa huyu Yaani anaenda polisi hajapasuka
 
aiseeee babaaangu anakwenda polisi huku akitembeamwenyewe????

Huku kijijini kwetu rombo polisi wanakuja kufata maiti 2 manake 2takuwa 2meshauwa
 
aiseeee babaaangu anakwenda polisi huku akitembeamwenyewe????

Huku kijijini kwetu rombo polisi wanakuja kufata maiti 2 manake 2takuwa 2meshauwa

kama rombo mashati lol
 
huko Zenji adhabu kubwa ya vibaka ni kumwagiwa mimaji yenye ukoko
 
aiseeee babaaangu anakwenda polisi huku akitembeamwenyewe????

Huku kijijini kwetu rombo polisi wanakuja kufata maiti 2 manake 2takuwa 2meshauwa
Na kwenye misa ya mazishi Padri anasema, katika shughuli zake za kawaida za kujitafutia riziki, marehemu alikumbwa na mauli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…