Habari zenu wanajamvi ni matumaini mu wazima kabisa
Nauhakika asilimia kubwa yetu humu tumepitia mahusiano kadhaa kabla ya ndoa(kwa waliooa na kuolewa) na kwa wale ambao hawako katika mahusiano sasa baada ya kukumbwa na mahasibu tofauti tofauti,na kila mtu ana mtazamo tofauti kwa hao ma EX,je wewe unamchukuliaje EX wako?Rafiki yako?Adui?

Mara nyingi wanaume huwa tunachukulia kama friend tu,, ila wenzetu ni uadui...tena wakupitiliza....

habari zenu wanajamvi ni matumaini mu wazima kabisa
nauhakika asilimia kubwa yetu humu tumepitia mahusiano kadhaa kabla ya ndoa(kwa waliooa na kuolewa) na kwa wale ambao hawako katika mahusiano sasa baada ya kukumbwa na mahasibu tofauti tofauti,na kila mtu ana mtazamo tofauti kwa hao ma ex,je wewe unamchukuliaje ex wako?rafiki yako?adui?
kwani wa kwako unamchukuliaje?
Habari zenu wanajamvi ni matumaini mu wazima kabisa
Nauhakika asilimia kubwa yetu humu tumepitia mahusiano kadhaa kabla ya ndoa(kwa waliooa na kuolewa) na kwa wale ambao hawako katika mahusiano sasa baada ya kukumbwa na mahasibu tofauti tofauti,na kila mtu ana mtazamo tofauti kwa hao ma EX,je wewe unamchukuliaje EX wako?Rafiki yako?Adui?
Mfarisayo unaweza kua sawa lakini kumbuka wengine wanakua hawajategemea kupewa vibuti ivo kikimpata kibuti na angali alikua anakuhitaji ni lazima akuchukie...binafsi sinaga cha friend match once we are done,we are done for good regardless ur perfomance!Ukiona anakuwa adui kupitiliza ujue ulikuwa humridhishi kwenye idara nyingi na sasa amepata anayemridhisha so lazima akuchukuie kwa kumpotezea muda ila kama ulikuwa unamfikisha vizuri hawezi kukusahau, atakuchukia kwa yote ila atakukumbuka kwenye sekta flani na lazima awe anaomba friend match za hapa na pale