BALIMI CASTLE
Member
- Aug 2, 2017
- 33
- 47
Wazo zur sana mkuu akifanya hivyo utachaguliwa ila akikurupuka atakutana nacho mpka hata amini na matokeo yakeKizuri zaidi ni kwamba kijana mwenyewe ndio wewe.
Tuachane na hilo; mimi nakushauri utafute hiyo kozi ya afya usome kwa kutumia cheti chako cha kidato cha sita, utasoma mpaka level ya diploma.
Ila kwa wakati huu jaribu kufatilia sifa zinazotakiwa ili kujua uombe chuo gani ili kukwepa ushindani maana waombaji ni wengi sana siku hizi.
omba nafasi moja kwa moja chuoni hasa vyuo vya private.... japo uwezekano wa kukosa nafasi ni mkubwa labda ukute chuo ambacho kina upungufu wa wanafunzi wa hiyo kozi.Habari zenu wanajamvi.
Kuna kijana mmoja jirani yangu alimaliza kidato cha nne mwaka 2011.
Na matokeo yake yalikuwa kama ifuatavyo
1-CIVICS-D
2-HISTORY-D
3-KISWAHILI-C
4-ENGLISH-D
5-GEOGRAPHY-D
6-PHYSICS-C
7-BIOLOGY-B
8-CHEMISTRY-D
9-BASIC MATHEMATICS-D
Akaenda A-LEVEL na matokeo yake yakawa hivi kwa mwaka 2014
1-GENERAL STUDIES-D sasa hivi - E
2-PHYSICS-E sasa hivi - S
3-CHEMISRTY-D sasa hivi - E
4-BIOLOGY-C sasa hivi - D
5-BASIC APPLIED MATHEMATICS- C sasa hivi - D
Sasa alipomaliza kidato cha sita hakuendelea na masomo ya juu,akawa anashughulika na shughuli mbalimbali za kiuchumi kwa kuwa familia aliyotoka ni masikini walishindwa kumsaport kwa lolote lile.
Sasa hivi ana miaka 3 mtaani tangu amalize kidato cha sita,na ameweza kufanya shughuli tofauti tofauti za halali za kiuchumi na kuweza kukusanya kama milioni 5 hivi.
Lengo lake ni mwakani arudi shule akaanze kusoma clinical officer(C.O) ngazi ya cheti kwa kutumia hizo milioni 5 alizokuwa nazo.
1-Je anaweza kupata chuo cha afya kupitia NACTE?
2-Je una ushauri wowote unaoweza kumpa kuachana na huo wa kusoma?
Note: umri wake sasa hivi 26 yrs.
Acha mambo meusi kwa matokeo gani hayo akasome bachelor ya pharmacy/nursing hapo.Mshauri vinginevyo au unataka wakale pesa yake ya application tuSifa anazo za kupiga bacherol ya pharmacy ama nursing
kwan hapo chuo c anapata . Tafuta koz nzur kapige degree . usiangalie nyuma songa mbeleHabari zenu wanajamvi.
Kuna kijana mmoja jirani yangu alimaliza kidato cha nne mwaka 2011.
Na matokeo yake yalikuwa kama ifuatavyo
1-CIVICS-D
2-HISTORY-D
3-KISWAHILI-C
4-ENGLISH-D
5-GEOGRAPHY-D
6-PHYSICS-C
7-BIOLOGY-B
8-CHEMISTRY-D
9-BASIC MATHEMATICS-D
Akaenda A-LEVEL na matokeo yake yakawa hivi kwa mwaka 2014
1-GENERAL STUDIES-D sasa hivi - E
2-PHYSICS-E sasa hivi - S
3-CHEMISRTY-D sasa hivi - E
4-BIOLOGY-C sasa hivi - D
5-BASIC APPLIED MATHEMATICS- C sasa hivi - D
Sasa alipomaliza kidato cha sita hakuendelea na masomo ya juu,akawa anashughulika na shughuli mbalimbali za kiuchumi kwa kuwa familia aliyotoka ni masikini walishindwa kumsaport kwa lolote lile.
Sasa hivi ana miaka 3 mtaani tangu amalize kidato cha sita,na ameweza kufanya shughuli tofauti tofauti za halali za kiuchumi na kuweza kukusanya kama milioni 5 hivi.
Lengo lake ni mwakani arudi shule akaanze kusoma clinical officer(C.O) ngazi ya cheti kwa kutumia hizo milioni 5 alizokuwa nazo.
1-Je anaweza kupata chuo cha afya kupitia NACTE?
2-Je una ushauri wowote unaoweza kumpa kuachana na huo wa kusoma?
Note: umri wake sasa hivi 26 yrs.
Sifa anazo za kupiga bacherol ya pharmacy ama nursing