Unalijua hili?

NGOWILE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
454
Reaction score
258
CCM ipo siku itaondoka madarakani na kitakachoiondoa madarakani sio kwanba watanzania hawaipendi, na sio kwamba watanzania wanaupenda sana upinzani. Itaondoka kwa sababu tu serikali yake imeshindwa kutimiza matarajio na matamanio ya watanzania.

By mtoto wa seremala.
 
Thatz a fact.Naichukia CCM kwa Moyo wangu wote.I wish haya Ma-CCM tungeyahamisha yote tukayapa mkoa mmoja yaanze kuibiana yenyewe.maana kadiri yanavyoendelea kujichanganya na watanzania wazalendo ndo yanaendelea kupolute vizazi na vizazi.
 
Naichukia CCM sana, NAICHUKIA CDM zaidi!
 

Umesomeka mkuu!
 

....and the days are numbered for that to happen!!
 

okay. unajua kusoma na kuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…