Unakuta mwalimu ana deni kabla ya kuisha anatop-up, bado amekopa salary advance. Badilikeni

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,834
Hivi huwa ni mapepo au nikujitoa akili tu, yani unakuta mwalimu ana madeni akidownload salary slip ni ndefu kama nyoka lakini yeye hajali. Ana suruali mbili za kitambaa amenunua mnadani na shati moja ya blue basi, basic salary inasoma laki tisa ila take home anaambulia elfu hamsini.

Ushauri Kwa walimu. Tunajua mnafanya kazi chini ya halmashauri ila badilikeni jaribuni kuwa updated Dunia ya sasa niyateknolojia unakuta mwalimu hapendezi ila wanafunzi wanawaka wanalaa pazuri wewe unalala kwenye jumba halina sakafu na vyoo vya kulenga.

1669913151392.jpg
 
Mods kuendelea kumwacha huyu jamaa anaandika upuuzi na upumbavu mnaonesha ni jinsi Gani mlivyo double standard.

Huyu mpuuzi anaeakashifu kada ya watu muhimu sana kwa hili taifa.

Halafu yeye mwenyewe ni mwalimu.

Napendekeza apewe life ban
Kwahiyo ushauri ni kosa?
 
Back
Top Bottom