Ndege huyo anaitwa Msese yeye hadi kunguru anadinya achagui pakudinya ndege wote wake!!!
Mkuuu wapi huko.?niaje wadau!!leo nimekaa nikafikiria enzi flani...kipindi tunakuwa[balehe],tulikuwa tunaambiwa na walio tutangulia eti ukitaka mwanamke umdiche...kunandenge flani weupe anamkia mrefu anaitwa[ndege msikitii]ukiweza kumuwinda na kupata manyonya ya mkia wake ni deal.eti ukiwa na msichana unaempenda,ukiona alipo kojoa ukiwiweka lile nyoa lazimaa utabatua...hizi zilikuwa saikologiiii tu.