unakumbuka nini?

baada ya mapira timu iloshindwa inazomewa na vurugu za kurushiana ngumi na mawe zinaanza hadi kieleweke
 
siku za juma mosi na jumapili nikipata msosi asubuhi, nilikuwa sionekani hadi saa moja usiku kwasababu nacheza mpira wa kindimu hata mchawa wa jua kali. miguu yangu iliumia wee inapina hadi imekuwa sugu. ilikuwa raha kweli na nilivyokuwa na mguu mwepesi kufunga magoli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…