Unakumbuka nini?

Nimekumbuka watu wenye tabia ya kudhulumu hadi kuona kama kudhulumu ni haki yao waliyopewa na Mungu kwamba watu wa aina hiyo hawana haya!!

Mwenyewe umeona kama ni "Kaunta atak"?
 
Walah yule mchunga ngo'mbe aliwasumbua wanajiofanya wao ni watoto wa mjini, eti kisa vikao vyao wanafanyia katikati ya mji wa dar.wakajiona ni wajanja wa kilakitu.Hawakujua mteseka juani ndo mbunifu wa mbinu za maangamizi,CCM ilikua tunawaaga msimu huu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…