Unakumbuka nini ukiona hii?

Hahahahaaa! Dah! Jamaa yetu mmoja alikuwa na mikwara hiyo enzi hizo. Kafanikiwa kuwa mlinzi siku hizi kwenye mabenki.
 
Hahahah jamaa mmoja Sasa hivi ni mwalimu WA tuition
 
Hahahah kuna jamaa walimpa jina la "Edwin semzaba" anaandika essay kitabu .


Ila saivi daktari
 
Nakumbuka huo ndio ulikuwa machezo wangu sasa hivi kiko jf sina lolote nachart tu
 
Dunia ina watu wa ajabu, ajabu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…