Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,802 Reaction score 4,910 Dec 5, 2014 #2 halafu ticha anaanza kutembeza "stiki" za mgongo hapoo sasa
Babkey JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 4,838 Reaction score 3,674 Dec 5, 2014 #3 Ndio maana wakipata madaraka wanawasahau waalimu......
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Dec 5, 2014 #4 Na siyo mbaya ni kuwanyosha ya kwamba hii ni shule na siyo pahala pa mchezo na baada ya somo ndo home work na ukimaliza somo ndo utakuwa umeupata huo ubunge wa viti maalum
Na siyo mbaya ni kuwanyosha ya kwamba hii ni shule na siyo pahala pa mchezo na baada ya somo ndo home work na ukimaliza somo ndo utakuwa umeupata huo ubunge wa viti maalum