Unakumbuka hii??

Kwa waliokulia mwanza sisi tulikuwa tunaita dama. Nimecheza kichizi.
 
Kwa waliokulia mwanza sisi tulikuwa tunaita dama. Nimecheza kichizi.

ewaaah! nilikuwa nasaka posti yenye hili jina!

sio mwanza tu... sogea sogea na Musoma na viunga vyake..

nimeidunda sana enzi za primary sconga!
 
ewaaah! nilikuwa nasaka posti yenye hili jina!

sio mwanza tu... sogea sogea na Musoma na viunga vyake..

nimeidunda sana enzi za primary sconga!
Excel naomba "like"
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…