Habari wana Jf, kuna hadithi za zamani ambazo hadi leo bado unaweza kumsimulia mtoto na akafurahi, hadithi kama za Abunuwasi, Panga la Shaba, Kaka Mbweha na Sungura, Bulicheka na nyingine nyingi, Ninaombeni msaada wapi naweza pata vitabu vya hadithi hizo, Asanteni