Jibu linaweza kuwa Loop ya kwanza au loop ya pili inategemea umeuliza kwa language ipi
Kwa kuwa avatar yako ina C++ππ basi nitajibu in context ya C++ and the likes (Loop ya Pili ni sahihi) in which a two dimensional array inakuwa arranged kwa order ya rows ikifuatiwa na columns "row-major"
i.e. 0,0|0,1|0,2|0,3|1,0|1,1|1,2|1,3|2,0|2,1|2,2|2,3.......
Kwa Loop ya kwanza unakuwa unazipata hizo elements zako za array kama kwa order ilivyowekwa kwenye memory
i.e. 0,0|0,1|0,2|0,3|1,0|1,1|1,2|1,3|2,0|2,1|2,2|2,3.........
kwa loop ya pili unakuwa unaruka ovyo, hauzipati kama order iliyowekwa kwenye memory.
i.e. 0,0|1,0|2,0|3,0|4,0|5,0|6,0|7,0|8,0|9,0|0,1|1,1|2,1|3,1|4,1|5,1|6,1|7,1|8,1|9,1|.......
Shida inakuja jinsi hizo elements zinavyoletwa kwenye CPU kwa lugha rahisi ni kwamba zinaletwa kupitia cache memory kwa vipande vipande kufuata order iliyowekwa kwenye memory, sasa imagine umeletewa vipande vya elements 4 tu kama vilivyowekwa kwenye memory i.e. 0,0|0,1|0,2|0,3| Kwa njia ya kwanza utazipitia zote bila shida kwa mleto wa kwanza
Kwa njia ya pili utapitia 0,0| halafu hizi nyingine unaziacha mpaka usubiri mleto wa pili uone kama kuna element unazozihitaji, kwa lugha ya kitaalamu wanaiita "Cache Miss".
Kwa lugha kama MATLAB,GNU Octave zenyewe zinafuata notation ya "column major" hivyo loop ya kwanza itakuwa ndio sahihi na sababu ni kinyume cha maelezo ya hapo juu.π