Unajua ni rahisi zaidi mtu kusikia kilichomo kwenye fikra zake kuliko yasemwayo na mtu mwingine?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,695
6,398
Umeshawahi kumwuliza mtu kitu lakini majibu yake yakawa ni tofauti kabisa na ulichomwuliza? Iko hivi, wakati mwingine, mtu anachojibu kinaakisi kile alichokuwa anakifikiria.

Kwenye clip hapo chini, Mzee Kikwete kasema "aendelee tu kukandamiza", akimaanisha JPM aendelee kuchapa kazi, lakini comments za watu wengi zinaonesha kuwa wao walichosikia ni "aendelee tu kutukandamiza"

Hiyo inamaanisha nini? Hao watu waliyasikia mawazo yao kupitia kinywa cha Mzee Kikwete.
 
Attachments

  • FULL_VIDEO__KIKWETE_ALIVYOTINGA_KWA_JPM_IKULU(144p).mp4
    1.3 MB

Back
Top Bottom