Mwambie huyo
TUKUTUKU hajuwi kuwa wewe ni mdogo wangu. Sasa hivi nimetoka kula supu ya pweza sasa ninakula Pweza inakaribia wiki. Sipendi kuku wa kutengenezwa kwa mashine huku kwetu kuku ndio chakula kikuu kuliko wanyama wengine nimesha choka kula makuku feki ninakula Samaki Pweza karibuni wote.